ANDROID PROJECTOR

Original price was: Sh400,000.Current price is: Sh340,000.

Kalibu ujipatie Projector android kwa jina la Umilio ambayo ina uwezo mkubwa wa KU control kupitia WiFi na unaweza kutumia kwa mfumo wa Biashara yoyote ile Ukaweza kupata screen quality Yenye Uwezo wa Inch 300 ikiwa na umbali wa meter 7 ika onyesha quality pia Ina uwezo wa kutumia bila kuchomeka kwenye umeme yan ina mfumo wa betry pia Ina Tumia mfumo wa 5G Internet iliyo kazi kalibu kuweza kupata bidhaa hii *=BEI NI SHILLING 340000 TU*

Category: